Zephania Mothopeng

Zephania Lekoame Mothopeng (10 Septemba 191323 Oktoba 1990) alikuwa mwanaharakati wa siasa na mwanachama wa Bunge la Muungano wa Afrika (Pan-Africanist Congress) nchini Afrika Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search